Mwonekano Wa Siku

Tuma wimbo pamoja na cover kwa email benedictoacley@gmail.com maelezo zaidi 0621 416 350.

Thursday, 20 February 2014

HISTORIA YA AWILO LONGOMBA

 AWILO LONGOMBA
   AWILO LONGOMBA MWANAMUZIKI KUTOKA KATIKA DEMOKRASIA YA CONGO ANAYEFANYA VIZURI SANA KATIKA MEDANI HIYO YA BURUDANI.KAMA ULIKUWA HUFAHAMAU AWILO ALISHAWAHI KUWA MPIGA NGOMA KATIKA KUNDI LA VIVA LA MUSICA,MPAKA ILIPOTIMIA MWAKA 1995. 

BAADA YA HAPO ALIAAMIUA KUACHA KUPIGA NGOMA NA KUFANYA KAZI ZAKE YEYE KAMA YEYE NA KUTOA ALBUM YAKE YA KWANZA MOTO PAMBA,HUKU AKIPEWA MSAADA MKUBWA TU NA SHIMITA,CANTA,DALLY KIMOKO NA WENGINE WENGI.
ALBUM YAKE YA PILI ILITOLEWA MWAKA 1998 ILIJULIKANA KAMA COUPE BIBAMBA AMBAYO ILIMFANYA AJULIKANE SANA KIMATAIFA NA AFRIKA NZIMA KWA UJUMLA.BAADA YA HAPO AKATOA ALBUM YAKE MWAKA 2001 ILIYOKUWA INAJULIKANA KWA JINA LA KAFOU KAFOU NA MWAKA 2004 AKATOA ALBUM YAKE MANDONGO AMBAYO ALIWASHIRIKISHA WANAMUZIKI WENGINE WENGI.
KIPAJI CHA AWILO HAKIJAANZA JUZIJUZI KAMA WENGI WANAVYOFIKIRI,KWANI HISTORIA INASEMA KUWA BABA YAKE VICTOR LONGOMBA ALIKUWA NI MMOJA WA WAANZILISHI WA BENDI YA TP OK JAZZ AKISHIRIKIANA NA KAKA YAKE.
MWAKA 2008 AWILO ALIACHIA ALBUM YAKE NYINGINE ILIYOKUWA INAJULIKANA KWA JINA LA SUPER MAN AMBAYO ILIMPATIA MAFANIKIO MAKUBWA SANA.NA HIVYO KUONGEZA UMAARUFU WAKE MWINGI HUKO INCHINI MAREKANI NA CANADA KATIKA TOUR AU TAMASHA LILILOFANYIKA LIKIJULIKANA KWA JINA NABTRY INTERNATIONAL CULTURE DANCER.AMBALO LILIKUWA LINAMILIKIWA NA GRACE HAUKWAA.
HAYO MACHACHE KUHUSHU AWILO LONGOMBA LICHA YA KUWA ALISHAWAHI KUPATA TUNZO MBALIMBALI KAMA MSAANII BORA WA KUBURUDISHA KATIKA ALBUM YAKE YA SUPER MAN.