AWILO LONGOMBA
AWILO
LONGOMBA MWANAMUZIKI KUTOKA KATIKA DEMOKRASIA YA CONGO ANAYEFANYA VIZURI SANA
KATIKA MEDANI HIYO YA BURUDANI.KAMA ULIKUWA HUFAHAMAU AWILO ALISHAWAHI KUWA
MPIGA NGOMA KATIKA KUNDI LA VIVA LA MUSICA,MPAKA ILIPOTIMIA MWAKA 1995.
BAADA YA
HAPO ALIAAMIUA KUACHA KUPIGA NGOMA NA KUFANYA KAZI ZAKE YEYE KAMA YEYE NA KUTOA
ALBUM YAKE YA KWANZA MOTO PAMBA,HUKU AKIPEWA MSAADA MKUBWA TU NA
SHIMITA,CANTA,DALLY KIMOKO NA WENGINE WENGI.
ALBUM YAKE
YA PILI ILITOLEWA MWAKA 1998 ILIJULIKANA KAMA COUPE BIBAMBA AMBAYO ILIMFANYA
AJULIKANE SANA KIMATAIFA NA AFRIKA NZIMA KWA UJUMLA.BAADA YA HAPO AKATOA ALBUM
YAKE MWAKA 2001 ILIYOKUWA INAJULIKANA KWA JINA LA KAFOU KAFOU NA MWAKA 2004
AKATOA ALBUM YAKE MANDONGO AMBAYO ALIWASHIRIKISHA WANAMUZIKI WENGINE WENGI.
KIPAJI CHA
AWILO HAKIJAANZA JUZIJUZI KAMA WENGI WANAVYOFIKIRI,KWANI HISTORIA INASEMA KUWA
BABA YAKE VICTOR LONGOMBA ALIKUWA NI MMOJA WA WAANZILISHI WA BENDI YA TP OK
JAZZ AKISHIRIKIANA NA KAKA YAKE.
MWAKA 2008
AWILO ALIACHIA ALBUM YAKE NYINGINE ILIYOKUWA INAJULIKANA KWA JINA LA SUPER MAN
AMBAYO ILIMPATIA MAFANIKIO MAKUBWA SANA.NA HIVYO KUONGEZA UMAARUFU WAKE MWINGI
HUKO INCHINI MAREKANI NA CANADA KATIKA TOUR AU TAMASHA LILILOFANYIKA
LIKIJULIKANA KWA JINA NABTRY INTERNATIONAL CULTURE DANCER.AMBALO LILIKUWA LINAMILIKIWA
NA GRACE HAUKWAA.
HAYO
MACHACHE KUHUSHU AWILO LONGOMBA LICHA YA KUWA ALISHAWAHI KUPATA TUNZO
MBALIMBALI KAMA MSAANII BORA WA KUBURUDISHA KATIKA ALBUM YAKE YA SUPER MAN.
0 comments:
Post a Comment