Mwonekano Wa Siku

Tuma wimbo pamoja na cover kwa email benedictoacley@gmail.com maelezo zaidi 0621 416 350.

Mwonekano Wa Siku

Tuma wimbo pamoja na cover kwa email benedictoacley@gmail.com maelezo zaidi 0621 416 350.

Mwonekano Wa Siku

Tuma wimbo pamoja na cover kwa email benedictoacley@gmail.com maelezo zaidi 0621 416 350.

Mwonekano Wa Siku

Tuma wimbo pamoja na cover kwa email benedictoacley@gmail.com maelezo zaidi 0621 416 350.

Mwonekano Wa Siku

Tuma wimbo pamoja na cover kwa email benedictoacley@gmail.com maelezo zaidi 0621 416 350.

Sunday, 3 February 2019

BENBEAT - MY VALENTINE

My valentine wimbo mpya kutoka kwa prod.BenBeat ikiwa ni ngoma yake ya kwanza kwa mwaka 2019. Enjoy shuka chini ya post hii kupakua wimbo huu


Sunday, 16 December 2018

  Jamaa anaitwa Key boy goma inaitwa mpaka monie.




Monday, 29 October 2018

BenBeat - Mwambie sina (Cover)

Kutoka Untouchable Music Empire nmekusogezea wimbo huu Mwambie sina (cover) by benbeat download pia unaweza kushare na washkaji wengine


Tuesday, 9 October 2018

RD FT BEN BEAT - UMECHELEWA

Kutoka Untouchable Music Empire (U.M.E) Nimekusogezea kazi mpya ya msanii kutoka njombe tz Jamaa anaitwa 'RD' wimbo kamshirikisha benbeat ambae pia ndiye producer aliye tayarisha wimbo huu. comment share pamoja na washaji wengine.



Tuesday, 4 September 2018

BenBeat Ft Juice Rhymes - YEYEYE

Hii hapa official audio YEYEYE by Benbeat ft Juice rhymes


Sunday, 2 September 2018

SKY FT MAHELA X BENBEAT - ACHA NILIE

Hii kutoka kwa SKY ft Mahela pamoja na Benbeat ngoma inaitwa Acha nilie karibu pia fanya kushare na washkaji wengine kusapoti muziki.


Tuesday, 21 August 2018

J lee ft Lizzy - Namsifia

J lee ni moja ya wasanii wa muda mrefu sana mkoani njombe amefanya nyimbo kadha wa kadha lakini ni mwaka mmoja umepita toka alipoachia video yake ya wimbo unaokwenda kwa jila la 'TULIPENDANA' Mwaka 2018 katuletea ngoma hii kali sana inaitwa 'namsifia' aliyomshirikisha msanii mpya kabisa njombe anaitwa 'LIZZY BOY'


Monday, 20 August 2018

Sky X G snake ft BenBeat - Sikuachi

Kutoka Njombe Tz nimekusogezea vipaji vipya viwili hapa namzungumzia SKY pamoja na G SNAKE ni wasanii wa muziki wa 'rap' na hapa nimekuletea wimbo wao mpya waliomshirikisha BENBEAT track imefanyika katika studio za 'Untouchable Music' pakua pia usisahau kushare na jamaa....


Sunday, 5 August 2018

Femas ft Chriss Jabal - Malkia

Kati ya rappers wanaochipukia kutoka kusini huwezi kumuacha jamaa huyu anaeitwa FEMAS mbali na track kadhaa alizoachia kipindi cha nyuma Mwaka huu FEMAS katuletea kazi mpya kabisa inaitwa MALKIA ndani ya track hii pia utamsikia msanii mwingine aliyeshilikishwa anakwenda kwa jina la chriss jabari 'JABARI' .........usisahau kuacha comment pia kushare na washkaji wengine.


Monday, 30 July 2018

Kutoka kwa msanii mpya mkoa wa njombe Kijana anaitwa LIZZY kakusogezea Wimbo wake wa Kwanza na mpya Kabisa...Nimekuwekea link hapo chini ili uweze kupakua na kuusikiliza kutika katika kipaji kipya kabisa kusini....


Wednesday, 25 July 2018

Hii hapa 'Rudi Kwenye Ramani' kutoka kwa Mdasha ft Nala Mzalendo. kama ulikuwa hujaipata sasa unaweza uipakua na kuisikiliza kupitia KibajajiOG.


Monday, 11 June 2018

Kutoka kwa msanii ambaye pia anatokea katika kundi la 'SMART BOYS' Jamaa anaitwa Trey Classic Katuletea Cover Inaitwa sikomi Ikiwa imetayarishwa na Producer Ben Beat Kutoka Untouchable Music.


hii hapa cover kutoka kwa Trey classic ft Mok NJM cover inaitwa 'SIO STAR' Kumbuka OG ya hii ngoma ni kutoka kwa Meddy Wimbo unaoitwa SLOWLY.