Mwonekano Wa Siku

Tuma wimbo pamoja na cover kwa email benedictoacley@gmail.com maelezo zaidi 0621 416 350.

Mwonekano Wa Siku

Tuma wimbo pamoja na cover kwa email benedictoacley@gmail.com maelezo zaidi 0621 416 350.

Mwonekano Wa Siku

Tuma wimbo pamoja na cover kwa email benedictoacley@gmail.com maelezo zaidi 0621 416 350.

Mwonekano Wa Siku

Tuma wimbo pamoja na cover kwa email benedictoacley@gmail.com maelezo zaidi 0621 416 350.

Mwonekano Wa Siku

Tuma wimbo pamoja na cover kwa email benedictoacley@gmail.com maelezo zaidi 0621 416 350.

Friday, 4 April 2014

SIRI YA MTUNGI KATIKA AMVCA AWARDS 2014


Macho  na masikio yote Jumamosi ya leo yataelekezwa Lagos ambako tuzo za AMVCA (Africa Magic Viewr's Choice Awards) zitafanyika.  Tuzo za AMVCA zilianzishwa ili kutambua na kusherehekea mchango wa wandaaji filamu, waigizaji na wataalam wa Afrika kufuatia mafanikio ya Bara hili katika tasnia ya filamu na televisheni.

Tanzania inajivunia kuwa sehemu ya mashuhuda, kufuatia kupendekezwa katika vipengele kadhaa kutoka tamthilia maarufu, Siri ya Mtungi iliyoingia katika vipengele vifuatavyo:

·         Best Make Up – Rehema Samo

·         Best Wardrobe – Doreen Estazia Noni

·         Best Art Direction – Kyle Quint

·         Best Sound Editor – Jordan Riber

·         Best Actor in a Drama – Juma Rajab

·         Best Indigenous language movie/series – Jordan Riber

·         Best TV Series (comedy/drama) – John Riber



Timu nzima itakayoondoka itasindikizwa na Waziri wa Habari, Dr. Fenella Mukangara.

Tuzo za mwaka jana zilihudhuriwa na baadhi ya majina makubwa katika uigizaji barani Afrika. Baadhi ya filamu ambazo zilibeba tuzo zilikuwa Otelo Burning (Filamu bora), Skeem (Filamu bora - Ucheshi) na The Mirror Boy (Filamu Bora ya tamthlia). Waigizaji Bora wa kike na kiume walikuwa OC Ukeje toka Nigeria na Jackie Appiah wa Ghana.

Watazamaji wanaweza kuangalia tukio zima la utoaji wa tuzo kupitia Africa Magic kuanzia saa moja jioni.

Tunaitakia Siri ya Mtungi kila la heri.

Tazama Wema Sepetu alivyoanzisha mtiti katika Ofisi za Global Publishers

Wema afanya ziara ya ghafla katika Ofisi za Global Publishers pande za Bamaga, Fanya kama unatizama hii video na utaelewa mchezo mzima.

          

Nanukuu walichoandika Global Publishers kuwenye Channel yao ya Youtube 
" HOVYOOO! Wema Isaac Sepetu aliye pia Miss Tanzania 2006, amejitoa fahamu kwa kupandisha mzuka na kutinga makao makuu ya Kampuni ya Global Publishers, Bamaga-Mwenge, Dar na kuzua timbwili la aina yake kisa kikiwa ni kuandikwa kwa habari zake na mpenziwe, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'. "

JUA MAMBO MUHIMU WAKATI WAKUFANYA TENDO LA NDOA KWA WATU WENYE MAUMBO MANENE




Mmoja kati ya wanasayansi maarufu hapa duniani amegundua kuwa watu wanene wanapata raha zaidi katika tendo la ndoa ukilinganisha na wtu wembamba. Mwanasayansi huyo aitwaye Dr. James Watson ambaye amekwishawahi kushinda tuzo za NOBEL kwa ubingwa wake ulipelekea ugunduzi wa muundo wa DNA,anaamini kabisa kuwa watu wanene wana uwezo mkubwa wa kufurahia tendo la ndoa kuliko wembemba.
Watu wanene wanazo sababu za kibiology zinazowafanya waweze kupata raha zaidi wafanayapo tendo la ndoa. Ktk uchunguzi wake wa kemikali mbalimbali zilizomo kwenye wa mwanadamu Dr. Watson ameona kuwa mafuta ya mwili yanaongeza kemikali iitwayo ENDORPHIN inayosababisha mtu ajisike raha. Kwa watu wembamba aligundua kuwa upungufu wa mafuta mwilini ulisbabisha ubongo usiapate ENDORPHINS za kutosha hivyo kupelekea kuwepo na upungufu wa raha katika tendo la ndoa. Watu wanaosema kuwa kufanya tendo la ndoa na watu wanene hakuna raha na ni kazi ngumu ni waongo kabisa. Ukweli ni kwamba raha ya tendo la ndoa haipungui utamu wake kutokana na unene wa mtu, bali hupungua kutokana na ukosefu wa ufundi na hofu zisizo na msingi wowote. Hofu ya kushindwa kumridhisha mwenzio siku zote lazima itakuzuia usipate raha kamili katika jambo lolote lile.
.
Ukosefu wa ufundi wa kufanya tendo la ndoa huleta hofu,na hata kiasi kidogo tu cha hofu huweza kusababisha mtu kushindwa kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi na hivyo kushindwa kupata raha kamili. Dr. Helen singer ambaye ni mwanasaikolojia maarufu anasema" kama mwanamume huyu atakuwa hajui umuhimu wa kinembe kilicho sehemu ya juu ya uke akafanya tendo la ndoa na mwanamke mnene atashindwa kabisa kumridhisha mwanamke huyo. Mwanaume wa aina hiyo akishasimamisha uume wake atauingiza kwa mwanamke na harahara atapizz(kumwanga shahawa) bila kufikiria kuwa mwanamke huyo atakuwa bado hajafika kileleni". Wanawake wengi wanene wameogopa kuanzisha mahusiano na wanaume kwa hofi ya kudharauliwa na hata wakifanikiwa kuanzisha uhusiano wanakuwa na wasiwasi kuwa uhenda wataachwa kwa sababu ya maumbile yao makubwa. Utawaone wanawake wanene wakivaa mavazi yasiyoleta  

  mvuto kwa wanaume kwa sababu imani kuwa kwa sababu ya unene wao hawapendeki. Wanawake wengine wapatapo wapenzi wakti wa kufanya mapenzi hupendelea kufanya mapenzi baada ya taa kuzimwa,wanaona giza litaficha ubaya wa unene wao, jambo ambalo huondoa kujiamini na kupunguza mvuto kwa mwanaume yeyote.
Wanawake wengi wanene wanajiona kuwa hawathaminiki kwa wanaume kutokana na unene wao, hali hiyo usababisha kuharibu mvuto wao na wengi huachwa sio kwa sababu ya unene wao,bali kwa sababu ya kukosa uchangamfu utokanao na hali ya kujiamni. Mtu akiwa na historia ya kuachika anajenga hofu ya kuchika katika uhusiano wowote ule, na hofu humfanya apoteze matumaini. Hali ya kutokuwa na matumaini humpunguzia mguvu ya kujiboresha yeye mwenyewe na kuboresha uhusiano anaoanzisha. Iwapo wanawake wanene hawaamini kuwa wao pia wanastahili mambo mazuri zaidi, basi watabaki katika tundu lenye huzuni na msikitiko tele. 

Tuesday, 11 March 2014

DIVA (loveness love) AWEKA BAYANA UHUSIANO WAKE NA GK

Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Loveness Love aka ‘Diva’ ameweka wazi juu ya uhusiano wake na King Crazy GK, na Prezzo huku akidai hakuwahi kufanya mapenzi na Prezzo.



 



Diva alikuwa akihojiwa na mtandao wa Makorokocho.
Swali : Je ni kweli Unatoka na GK?
Diva : ofcoz doe …. Gk is my Angel, My Husband, My Forever Favorite Man. My sugar My sweetie…My heart .. my better and half, My life….My Boifriend..i call him dat, My Boyfriend.
Swali : Unampenda Crazy GK?
Diva: with all my heart …like never before…… never knew kama kuna Penzi kama hili before. holding it so close..dearly.
Swali : Kabla ya kuwa na GK ulikua na nani?
Diva : Gosh ..but well ermmm …… dated this Politician kwa muda mrefu sana, miaka nearly 4 years … he was the only one., don’t wanna put his name on Public tho….until i met My King..

Swali : Kwanini Mliaachana na huyo Mwanasiasa?

Diva : misunderstanding zilizidi, i don’t really wanna talk about it My focus is My king now….My baby, My lover ..My Gk.
Swali : Uliwahi kuwa katika mahusiano na Brother from 254 Kenya Prezoo, mahusiano yenu yaliishia vipi?
Diva : Prezoo na mimi tulikutana wakati ana interview, so baada ya hapo tukawa tuna chat kwa simu, sikupenda alivyofanya interview kwenye XXL ya Clouds fm You heard…akasema eti anataka kunioa, nilikasirika sana nakumbuka nilimuuliza akajibu eti ameongelea feeling zake, lakini tuliishia kuwa na long distance relationship, aliingia kwenye moyo wangu kwasababu nilikua nimegombana na boy friend wangu mwanasiasa, lakini badae nikaona niachane na Prezoo, ila hatujawahi kufanya any sex . we touched, we kissed, we had our love story and ikaisha, to me dats normal, …. hakukuwa na mahusiano ya mahitaji ya kimwili baina yetu, sikuwa ready for dat… it was just a fling. ila Prezzo such a nice guy. No regrets, gladly i met him in real life, and we good tunaongea tunawasiliana, sio ugomvi kuachana. i still love his music, such a fan of him.
Swali: Mara ya kwanza kukutana Na GK na ilikuaje?

Diva : Well Mara ya kwanza kukutana na Gk ilikua ni mwaka 2013, siku ambayo GK alikuja kwenye kipindi changu kwa ajili ya Interview, kabla ya hapo nilikua namwona kwenye Music Videos only but hakunivutia at the first place, i was happy met The Music Mesiah tho. music veteran, gladly met the Legendary,The King.
Swali : Ulijiskiaje baada ya kumwona?
Diva : Nilifurahi, tulisalimiana, kama navyokutana na wasanii wengine, alikua anaonekana kama nilivyokua namwona kwenye TV, na yeye anakaniambia Jinsi anavyoniona ni tofauti na nilivyokua anafikiria, alidhani mimi ni mdada mtu mzima, na alifikiria mimi ni msichana mwenye kuringa sanaaa, na Sister Du Sanaaa, baadae aliniambia eti siku hiyo hiyo ya kwanza akanipenda (Love at First Sight lol)
Swali : Interview Uliionaje?
Nilikua na mhoji Legendary, ni kama Kufanya Interview na Jay Z, na baada ya mahojiano hayo nilipata my credits as usual. it was BOOM..Kick ass show.
Swali : Ulimuuliza maswali juu ya mahusiano yake yaliyopita?

Diva : Ndio nilimuuliza Una Girlfriend? Akajibu ninae, nikamuuliza ndo huyo mzungu ninaemskia? Akanijibu umejuaje? Then akasema kweli ana girlfriend Mzungu na vingine nini nini ……………..
Swali : baada ya Siku hiyo mawasiliano yenu yalikuaje?

Diva : tulikua tuna chat kama watanzania wa kawaida, Good morning My Diva. how are you…hizo yaan…ila kuna siku nilienda kula kwa Aunt yangu Upanga, kwenye Chatting nikamwambia nipo Upanga akaniuliza upo maeneo gani, nikamjibu akaja na baadae nikatembelea Kwao the same day we Kissed lakini, it was a good kiss, a kiss to remember… btw i needed dat kiss..when he kissed me man…. it was like magic. kwasababu nilikua na Boy friend mtu mzima kidogo, just experienced the difference with the finest… hehee…
Swali : Crazy GK Aliwezaje kuzibamba hisia zako?

Diva : Aliniletea Vannila Ice cream ,gosh i so love Vanilla Ice cream, My favorite you know…(cinderela life Story) that means kuna vitu mimi napenda ambavyo wanaume wengi hawawezi kufikiria, wanaume wengi wakinifata wanahisi napenda vitu expensive lakini mimi napenda vitu vya watoto, I need a man ambae atani treat kama mtoto, even on valentines..had valentines to remember. dats my baby.
Swali : Chemistry yenu iko vp, mnaiva sana ama?

Diva : He is nice and we connect….. enjoying the moment with My Special Man, My king, My Gk

Swali: Any Future Plans?

Diva : Mipango ni kuwa na furaha zaidi maishani, I love him, we love each Other, we just wanna be happy and yes tunataka kuzaa mtoto… coz i need kuwa na mtoto this 2014 yaani. we agreed tutamuita Hailey Presley Montana Kaihula. a baby boy pliz lol, thanks

Saturday, 1 March 2014

PNC aongelea baada Ostaz Juma kuweka picha zake zikimuonyesha anampigia magoti, Ostaz nae afunguka sababu za kupost picha hizo

Thursday, 20 February 2014

HISTORIA YA AWILO LONGOMBA


 AWILO LONGOMBA
   AWILO LONGOMBA MWANAMUZIKI KUTOKA KATIKA DEMOKRASIA YA CONGO ANAYEFANYA VIZURI SANA KATIKA MEDANI HIYO YA BURUDANI.KAMA ULIKUWA HUFAHAMAU AWILO ALISHAWAHI KUWA MPIGA NGOMA KATIKA KUNDI LA VIVA LA MUSICA,MPAKA ILIPOTIMIA MWAKA 1995. 

BAADA YA HAPO ALIAAMIUA KUACHA KUPIGA NGOMA NA KUFANYA KAZI ZAKE YEYE KAMA YEYE NA KUTOA ALBUM YAKE YA KWANZA MOTO PAMBA,HUKU AKIPEWA MSAADA MKUBWA TU NA SHIMITA,CANTA,DALLY KIMOKO NA WENGINE WENGI.
ALBUM YAKE YA PILI ILITOLEWA MWAKA 1998 ILIJULIKANA KAMA COUPE BIBAMBA AMBAYO ILIMFANYA AJULIKANE SANA KIMATAIFA NA AFRIKA NZIMA KWA UJUMLA.BAADA YA HAPO AKATOA ALBUM YAKE MWAKA 2001 ILIYOKUWA INAJULIKANA KWA JINA LA KAFOU KAFOU NA MWAKA 2004 AKATOA ALBUM YAKE MANDONGO AMBAYO ALIWASHIRIKISHA WANAMUZIKI WENGINE WENGI.
KIPAJI CHA AWILO HAKIJAANZA JUZIJUZI KAMA WENGI WANAVYOFIKIRI,KWANI HISTORIA INASEMA KUWA BABA YAKE VICTOR LONGOMBA ALIKUWA NI MMOJA WA WAANZILISHI WA BENDI YA TP OK JAZZ AKISHIRIKIANA NA KAKA YAKE.
MWAKA 2008 AWILO ALIACHIA ALBUM YAKE NYINGINE ILIYOKUWA INAJULIKANA KWA JINA LA SUPER MAN AMBAYO ILIMPATIA MAFANIKIO MAKUBWA SANA.NA HIVYO KUONGEZA UMAARUFU WAKE MWINGI HUKO INCHINI MAREKANI NA CANADA KATIKA TOUR AU TAMASHA LILILOFANYIKA LIKIJULIKANA KWA JINA NABTRY INTERNATIONAL CULTURE DANCER.AMBALO LILIKUWA LINAMILIKIWA NA GRACE HAUKWAA.
HAYO MACHACHE KUHUSHU AWILO LONGOMBA LICHA YA KUWA ALISHAWAHI KUPATA TUNZO MBALIMBALI KAMA MSAANII BORA WA KUBURUDISHA KATIKA ALBUM YAKE YA SUPER MAN.