Mmoja kati ya wanasayansi maarufu hapa duniani amegundua kuwa watu
wanene wanapata raha zaidi katika tendo la ndoa ukilinganisha na wtu
wembamba. Mwanasayansi huyo aitwaye Dr. James Watson ambaye
amekwishawahi kushinda tuzo za NOBEL kwa ubingwa wake ulipelekea
ugunduzi wa muundo wa DNA,anaamini kabisa kuwa watu wanene wana uwezo
mkubwa wa kufurahia tendo la ndoa kuliko wembemba.
Watu wanene wanazo sababu za kibiology zinazowafanya waweze kupata
raha zaidi wafanayapo tendo la ndoa. Ktk uchunguzi wake wa kemikali
mbalimbali zilizomo kwenye wa mwanadamu Dr. Watson ameona kuwa mafuta ya
mwili yanaongeza kemikali iitwayo ENDORPHIN inayosababisha mtu ajisike
raha. Kwa watu wembamba aligundua kuwa upungufu wa mafuta mwilini
ulisbabisha ubongo usiapate ENDORPHINS za kutosha hivyo kupelekea kuwepo
na upungufu wa raha katika tendo la ndoa. Watu wanaosema kuwa kufanya
tendo la ndoa na watu wanene hakuna raha na ni kazi ngumu ni waongo
kabisa. Ukweli ni kwamba raha ya tendo la ndoa haipungui utamu wake
kutokana na unene wa mtu, bali hupungua kutokana na ukosefu wa ufundi na
hofu zisizo na msingi wowote. Hofu ya kushindwa kumridhisha mwenzio
siku zote lazima itakuzuia usipate raha kamili katika jambo lolote lile.
.
Ukosefu wa ufundi wa kufanya tendo la ndoa huleta hofu,na hata kiasi
kidogo tu cha hofu huweza kusababisha mtu kushindwa kufanya tendo la
ndoa kwa ufanisi na hivyo kushindwa kupata raha kamili. Dr. Helen singer
ambaye ni mwanasaikolojia maarufu anasema" kama mwanamume huyu atakuwa
hajui umuhimu wa kinembe kilicho sehemu ya juu ya uke akafanya tendo la
ndoa na mwanamke mnene atashindwa kabisa kumridhisha mwanamke huyo.
Mwanaume wa aina hiyo akishasimamisha uume wake atauingiza kwa mwanamke
na harahara atapizz(kumwanga shahawa) bila kufikiria kuwa mwanamke huyo
atakuwa bado hajafika kileleni". Wanawake wengi wanene wameogopa
kuanzisha mahusiano na wanaume kwa hofi ya kudharauliwa na hata
wakifanikiwa kuanzisha uhusiano wanakuwa na wasiwasi kuwa uhenda
wataachwa kwa sababu ya maumbile yao makubwa. Utawaone wanawake wanene
wakivaa mavazi yasiyoleta
mvuto kwa wanaume kwa sababu imani kuwa kwa sababu ya unene wao
hawapendeki. Wanawake wengine wapatapo wapenzi wakti wa kufanya mapenzi
hupendelea kufanya mapenzi baada ya taa kuzimwa,wanaona giza litaficha
ubaya wa unene wao, jambo ambalo huondoa kujiamini na kupunguza mvuto
kwa mwanaume yeyote.
Wanawake wengi wanene wanajiona kuwa hawathaminiki kwa wanaume
kutokana na unene wao, hali hiyo usababisha kuharibu mvuto wao na wengi
huachwa sio kwa sababu ya unene wao,bali kwa sababu ya kukosa uchangamfu
utokanao na hali ya kujiamni. Mtu akiwa na historia ya kuachika
anajenga hofu ya kuchika katika uhusiano wowote ule, na hofu humfanya
apoteze matumaini. Hali ya kutokuwa na matumaini humpunguzia mguvu ya
kujiboresha yeye mwenyewe na kuboresha uhusiano anaoanzisha. Iwapo
wanawake wanene hawaamini kuwa wao pia wanastahili mambo mazuri zaidi,
basi watabaki katika tundu lenye huzuni na msikitiko tele.
0 comments:
Post a Comment