Tuesday, 1 May 2018

Hip Hop Cypher2018 hii hapa ngoma iliyowakutanisha wasanii wa vyuo Mbeya yaani chuo cha TPSC,TEKU,MUST,TIA,CBE na MZUMBE humu ndani kuna wasanii kama Nala,kalimore,kMaxBave,NicksomeMore,T-Breaker,Dizer,Soja jafariano chini ya Wadachi music Production.


0 comments:

Post a Comment