J lee ni moja ya wasanii wa muda mrefu sana mkoani njombe amefanya nyimbo kadha wa kadha lakini ni mwaka mmoja umepita toka alipoachia video yake ya wimbo unaokwenda kwa jila la 'TULIPENDANA' Mwaka 2018 katuletea ngoma hii kali sana inaitwa 'namsifia' aliyomshirikisha msanii mpya kabisa njombe anaitwa 'LIZZY BOY'