Sunday, 16 December 2018
Monday, 29 October 2018
BenBeat - Mwambie sina (Cover)
October 29, 2018
No comments
Kutoka Untouchable Music Empire nmekusogezea wimbo huu Mwambie sina (cover) by benbeat download pia unaweza kushare na washkaji wengine
Tuesday, 9 October 2018
RD FT BEN BEAT - UMECHELEWA
October 09, 2018
No comments
Kutoka Untouchable Music Empire (U.M.E) Nimekusogezea kazi mpya ya msanii kutoka njombe tz Jamaa anaitwa 'RD' wimbo kamshirikisha benbeat ambae pia ndiye producer aliye tayarisha wimbo huu. comment share pamoja na washaji wengine.
Tuesday, 4 September 2018
Sunday, 2 September 2018
SKY FT MAHELA X BENBEAT - ACHA NILIE
September 02, 2018
No comments
Hii kutoka kwa SKY ft Mahela pamoja na Benbeat ngoma inaitwa Acha nilie karibu pia fanya kushare na washkaji wengine kusapoti muziki.
Tuesday, 21 August 2018
J lee ft Lizzy - Namsifia
J lee ni moja ya wasanii wa muda mrefu sana mkoani njombe amefanya nyimbo kadha wa kadha lakini ni mwaka mmoja umepita toka alipoachia video yake ya wimbo unaokwenda kwa jila la 'TULIPENDANA' Mwaka 2018 katuletea ngoma hii kali sana inaitwa 'namsifia' aliyomshirikisha msanii mpya kabisa njombe anaitwa 'LIZZY BOY'
Monday, 20 August 2018
Sky X G snake ft BenBeat - Sikuachi
Kutoka Njombe Tz nimekusogezea vipaji vipya viwili hapa namzungumzia SKY pamoja na G SNAKE ni wasanii wa muziki wa 'rap' na hapa nimekuletea wimbo wao mpya waliomshirikisha BENBEAT track imefanyika katika studio za 'Untouchable Music' pakua pia usisahau kushare na jamaa....
Sunday, 5 August 2018
Femas ft Chriss Jabal - Malkia
Kati ya rappers wanaochipukia kutoka kusini huwezi kumuacha jamaa huyu anaeitwa FEMAS mbali na track kadhaa alizoachia kipindi cha nyuma Mwaka huu FEMAS katuletea kazi mpya kabisa inaitwa MALKIA ndani ya track hii pia utamsikia msanii mwingine aliyeshilikishwa anakwenda kwa jina la chriss jabari 'JABARI' .........usisahau kuacha comment pia kushare na washkaji wengine.
Monday, 30 July 2018
July 30, 2018
No comments
Kutoka kwa msanii mpya mkoa wa njombe Kijana anaitwa LIZZY kakusogezea Wimbo wake wa Kwanza na mpya Kabisa...Nimekuwekea link hapo chini ili uweze kupakua na kuusikiliza kutika katika kipaji kipya kabisa kusini....
Wednesday, 25 July 2018
July 25, 2018
No comments
Hii hapa 'Rudi Kwenye Ramani' kutoka kwa Mdasha ft Nala Mzalendo. kama ulikuwa hujaipata sasa unaweza uipakua na kuisikiliza kupitia KibajajiOG.
Monday, 11 June 2018
June 11, 2018
No comments
hii hapa cover kutoka kwa Trey classic ft Mok NJM cover inaitwa 'SIO STAR' Kumbuka OG ya hii ngoma ni kutoka kwa Meddy Wimbo unaoitwa SLOWLY.
Friday, 25 May 2018
May 25, 2018
No comments
Hili ni kundi jipya kabisa Mkoani Njombe na hii ni ngoma yao yakwanza kabisa chini ya producer Ben Beat (Untouchable Music) Pakua pia share na washkaji wengine kusapoti mziki mzuri.
Saturday, 12 May 2018
Tuesday, 1 May 2018
Monday, 30 April 2018
Wednesday, 25 April 2018
Friday, 6 April 2018
Tuesday, 27 March 2018
K sali - Kushoto Video
Wednesday, 14 February 2018
Tuesday, 9 January 2018
Femas ft Benbeat - Siwezi
Huyu ndiye anaye vaa viatu vya Izzo Business sema sitaki niwe na maneno mengi chiki nahii ngoma kutoka kwa Femas alomshilikisha Ben beat Kutooka 'untouchable music' usisahau kuacha comment yako hapo chini kwa ushauri zaidi
Monday, 8 January 2018
BenBeat ft Mori Bella - Slowly (Cover)
Karibu kuisikiliza na kuipakua kazi hii kutoka kwa Ben beat ft Mori Bella slowly 'cover' kazi imefanyika katika studio za 'untouchable music' Njombe. Usisahau kuacha comment yako hapo chini kwa maoni na ushauri
J LEE - TULIPENDANA (VIDEO)
Nimekusogezea video mpya kutoka kwa J LEE inaitwa 'tulipendana' pia usisahau ku-subscribe katika channel yetu ya youtube kupata updates nyingine....